get all latest and updated jobs news, interview tips,interview video

NAFASI YA KAZI MTUNZA TAKWIMU (DATA CLERK) - NAFASI 2, HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 11 DECEMBER 2017






👉👉👉>>>LATEST JOBS >>>CLICK HERE FOR LATEST JOBS MORE THAN 100 DIFFERENT POSITION ➦➥CLICK HERE FOR ALL LATEST JOBS NEWS FROM MORE THAN 50 DIFFERENT COMPANY IN TANZANIA
NAFASI YA  KAZI MTUNZA TAKWIMU (DATA CLERK) - NAFASI 2, HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA

Kwa wananchi wote , Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba anawatangazia wananchi ote kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba chini ya ufadhili wa MDH wametoa nafasi 2 za kazi za watunza takwimu za UKIMWI katika vito vya kutolea huduma za afya

SIFA ZA MWOMBAJI
- awe na eleimu ya sekondari kidato ccha 4 au 6,
- awe na utaalamu katika masomo ya computer ngazi ya cheti au stashahada au astashahada ya juu
- mwenye uzoefu katika utunzaji wa Takwimu za UKIMWI (nacp, ctc2 database) atakuwa na sifa ya ziada
 
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI

maombi yatumwe 
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMSHAURI YA WILAYA YA BUKOBA,
S.L.P 491
BUKOBA

VIAMBATANISHO
- cheti cha elimu ya sekondari,
- cheti cha kuhudhuria mfunzo ya tajwa hapo juu,
- kivulicha cheti cha utunzaji stoo,
- wasifu wa muhusika. 

MUHIMU
wale wote wanaopenda kutuma maomo yao wanashauriwa wawasilishe barua zao za maombi katika ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wILAYA YA Bukoba

mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11 Desemba, 2017








👉👉👉>>>LATEST JOBS >>>CLICK HERE FOR LATEST JOBS MORE THAN 100 DIFFERENT POSITION ➦➥CLICK HERE FOR ALL LATEST JOBS NEWS FROM MORE THAN 50 DIFFERENT COMPANY IN TANZANIA
DON'T  MISS ANOTHER JOBS NEWS OPPORTUNITY EVERY DAY
Join over 500,000 people who get notified daily. Send to us  your Email Address or whatsApp number to our office e mail adress known as thedon9t@gmail.com
after that you will start receiving jobs news every time for free
  • Send to us your E mail address or whats App number inorder to put you in list of people who receive our jobs news every time, Send your  E mail or whatsApp number to our office e mail address >> thedon9t@gmail.com
  • Also like our FACEBOOK  page known as  MAKI INSPIRE for more jobs news and motivation and inspiration issues  or  click here to like our facebook page 
  • Also Follow us on  Instagram for our account known as mr_motivation_icon
                         
  JOB NEWS BLOG        
All latest daily new Jobs in Tanzania  Visit ➦➥ New Jobs blog
 Warning ⇶ Don’t Pay Money To Get A Job

Share:

No comments:

Enter your name and e mail.

Popular JOBS NEWS

Labels

Blog Archive

LATEST JOBS NEWS

Pages