KAZI MTENDAJI KIJIJI III HALAMSHAURI YA WILAYA YA MBINGA, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 11 DECEMBER 2017
NAFASI ZA KAZI MTENDAJI KIJIJI III HALAMSHAURI YA WILAYA YA MBINGA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga anakaribisha
maombi ya nafasi za kazi kutoka kwa Watanzania wote wenye sifa na
uwezo wa kujaza nafasi tajwa hapo juu
MTENDAJI KIJIJI NAFASI 12
SIFA ZA MWOMBAJI
- mwenye elimu ya kidao cha IV au VI aliyehitimu mafunzo ya
Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala , Sheria, Elimu
ya jamii usimamizi wa fedha maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii
kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote kinacho
tamblika na serikali
KAZI NA MAJUKUMU
- Afisa masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Mitaa
- kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
- kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibi
- katibu wa mikutano ya kamatai zote za Halmashauri ya KIJIJI
- kuandaa taaraifa za utekelezaji wa kazii katika eneo lake
na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya
kuondoa Njaa, Umskini na kuongeza uzalishaji wa mali
- Kiongozi mkuu wa vitengo vya kitaalam kijijini
- kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbu kumbu zote za nyaraka za kijiji
MSHAHARA
- atalipwa mshahara wa TGS B1
MASHARTI YA JUMLA
- waombaji wawe raia wa Tanzania na wenye umri kati ya miaka 18 hadi 45
- muombaji awasilishe picha moja ya hivi karibuni
- waombaji wawasilishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) yenye anauani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ma 3 ya wadhamini wa kuaminika
- waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti halis vya
masomo na taaluma na atakaye wasilisha result slip, statement of
results provisional results au transcripts havitakubaliwa
- kwa waliosoma nje ya nchi elimu ya kidato cha 4 na kidato cha sita wawasilishe uthibitisho wa kutoka NECTA
- kwa walio maliza vyuo vikuu nje wawasilishe uthibitisho kutoka tcu
- WOTE WATAKAO KUWA SHORTLISTED ndio watakaoitwa kwenye usaili
- maombi yasiozingatia vigezo hayata shughulikiwa
mwisho wa kupokea maombi nitarehe 11/12/2017 saa 9:30 alasiri
MUHIMU :- kumbuka kuambatanisha barua yako ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA MJI,
S.L.P 135,
MBINGA
TANGAZO PIA LINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA www.mbingatc.go.tz
👉👉👉>>>LATEST JOBS >>>CLICK HERE FOR LATEST JOBS MORE THAN 100 DIFFERENT POSITION ➦➥CLICK HERE FOR ALL LATEST JOBS NEWS FROM MORE THAN 50 DIFFERENT COMPANY IN TANZANIA
No comments:
Post a Comment