JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb.NaEA.7/96/01/J/59 09Novemba, 2017

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa
niaba ya Tanzania Atomic Energy Commission (TAEC), The College of
African Wildlife Management (MWEKA), The Institute of Accountancy Arusha
(IAA), Tropical Pesticides Research Institute (TPRI), National
Institute of Transport (NIT), The Institute of Adult Education (IAE),
The Institute of Rural Development Planning (IRDP) na College of
Business Education (CBE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14-18
Novemba, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi
watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye Usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
i. Usaili wa Mchujo utafanyika tarehe 14-16 Novemba, 2017
kama ilivyoainishwa kwenye tangazo hili, muda wa Usaili umeainishwa kwa
kila Kada;
ii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
iii. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:-Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpigakura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria;
iv. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;
v. Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo ya kidato cha IV na VI (Results Slips) HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI;
vi. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi;
vii. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;
viii. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU na NECTA); na
ix. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya Tangazo husika.
x. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na Vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

Download attachments:KUITWA_KWENYE_USAILI_UTUMISHI_1.pdf
👉👉👉>>>LATEST JOBS >>>CLICK HERE FOR LATEST JOBS MORE THAN 100 DIFFERENT POSITION ➦➥CLICK HERE FOR ALL LATEST JOBS NEWS FROM MORE THAN 50 DIFFERENT COMPANY IN TANZANIA
No comments:
Post a Comment